# Baba yangu...amewatoa kwangu...hakuna aliye na uwezo wa kuwanyakua kutoka mkononi mwa Baba. Mungu Baba na Mungu Mwana kwa uwezo wao huwalinda waliookoka. # Baba yangu Hiki ni cheo uhimu kwa Mungu # Mkono wa Baba Neno "mkono" linatumika kumaanisha umiliki wa Mungu au madaraka na ulinzi wake. # Mimi na Baba yangu tu umoja Yesu, Mungu Mwana,na Mungu Baba ni umoja. Wao ni nafsi za Mungu mmoja na wa kweli (pamoja na Roho). Wana umoja katika makusudi, uwezo, mamlaka, huruma na utakatifu. Wao ni Mungu.