# Sikukuu ya kuwekwa wakfu Hii ni siku ya nane, mapumziko ya wakati wa baridi Wayahudi huitumia kukumbuka muujiza wa Mungu alipofanya mafuta kidogo kubaki katika taa mpaka walipopata mafuta mengine baada ya siku nane baadaye. Taa ilitumika kuweka wakfu hekalu la Kiyahudi kwa Mungu. kuweka wakfu kitu ni ahadi ya kukitumia tu kwa kusudi maalumu. # kibaraza Huu ni muundo uliounganishwa na jengo, ina paa na inaweza kuwa na ukuta ama isiwe nao.