# Mimi ni mlango Alimaanisha yeye mwenyewe kama "mlango," Yesu anaonyesha kwamba anatoa njia ya kweli kupata kile zizi la kondoo linawakilisha. # Malisho Neno "malisho" linamaanisha eneo lenye nyasi mahali kondoo huenda kula. # Hawezi kuja isipokuwa Hiki ni kinyume mara mbili. Katika lugha zingine ina uasilia zaidi kwa kutumia sentensi chanya. # Ili kwamba wawe na uzima Neno "wawe" linamaanisha kondoo. "uzima" linamaanisha uzima wa milele.