# Hawezi kutunza sabato Hii inamaanisha kuwa hakutii sheria kuhusu Sabato. # Ishara Miujiza pia yaweza kuitwa ishara kwa sababu imetumika kama viashirio au ushahidi kwamba Mungu ana uwezo wote aliye na mamlaka kamili juu ya ulimwengu.