# Ni Baba yangu anayenitukuza Hakuna mwanadamu amjuaye Mungu Baba kama Mungu Mwana, Yesu Mwana wa Mungu. Mungu Baba humtukuza Mwana kwa sababu wote Baba na Mwana ni Mungu wa milele. # Baba Hiki ni cheo muhimu kwa Mungu