# Sasa Neno "sasa" linatumika hapa kuonyesha mkato ndani ya mstari mkuu wa hadithi. # Siku kubwa Ni "kubwa" kwa sababu ni ya mwisho, au muhimu zaidi siku ya sikukuu. # Ikiwa yeyote ana kiu Hii inamaanisha hamu ya mambo ya Mungu, kama vile mwingine anavyoweza kuwa na hamu au "kiu" kwa maji. # Na aje kwangu anywe. Neno "yeye" maana yake "yeyote." Neno "kunywa" hapa linawakilisha utimilifu wa kiroho katika Kristo. # Maandiko Hapa "maandiko" linasimama kwa unabii wa Masihi kuhusiana na Kristo. Hii siyo nukuu ya moja kwa moja kutoka fungu lolote maalum la Agano la Kale. # kutiririka ito ya maji ya uzima Kristo atatoa pumziko la "kiu" ya kiroho kwa watu katika kiwango kikubwa kwamba itatiririkia nje kumsaidia kila aliyepo kama # Maji ya uzima Hii inamaanisha 1) "maji yatoayo uzima" au "maji yanayowafanya watu kuishi au 2) maji ya asili yatiririkayo kutoka kwenye chemchemi, iliyotofautishwa na maji yatokayo kisimani.