# Basi ni vipi kama mkimwona Mwana wa Adamu akishuka kutokakule aliokuwa kabla? "Labda mtaamini ujumbe wangu kama mkiniona, yeye aliye kuja kutoka mbinguni, akishuka kule nilikokuwa kabla!" # faida Hii ina maanisha kusababisha vitu vizuri kutokea. # maneno "Ujumbe" Pengine maana: 1) maneno yake ndani au 2) kila kitu anachofundisha. # maneno niliyokuambia wewe "Nilichowambia" # roho Maana zinazo wezekana ni 1)Roho Mtakatifu au2) vitu vya kiroho. # ni roho, na ni uzimaa maana dhaniwa 1)"karibia Roho na uzima wa milele" au "kutoka kwa Roho na inatoa uzima wa milele" au 3)" ni kuhusuvitu vya kiroho na uzima."