# Mimi ni mkate wa uzima Yesu anajifananisha na mkate. Kama vile mkate ulivyo muhimu kwa maisha yetu ya mwili, Yesu ni wa muhimu kwa maisha yetu ya kiroho. # aaminiye katika Hii ina maanisha kuaminia kuwa Yesu ni Mwan wa Mungu, kumtegemea kama mwokozi, na kuishi katika namna ambayo ina mpendeza. # Wale wote anipaye Baba watakuja kwangu Mungu Baba na Mungu Mwana ni washirika katwa milele kwa wale wanao mwamini Yesu, Mwana wa Mungu. # Baba Cheo muhimu kwa Mungu. # Yeye ajaye kwangu sitamtupa kamwe nje "Nitamtunza kila mmoja ambaye ajaye kwangu.