# Kiunganishi cha Maneno: ili ni tukio linalofuata katika simulizi;wanafunzi wa Yesu wanaenda ziwani. # (wakati giza lilikuwa limeingia, na Yesu alikuwa bado hajaenda kwa wanafunzi.) Tumia lugha yako jinsi ya kuonesha hii ni habari ya nyuma ya habari.