# Maelezo ya Jumla: Yesu anajitoa katika mkutano. Hii ni sehemu ya mwisho ya simulizi kuhusuYesu kuwalisha mkutano juu ya mlima. # wakakusanyika "Wanfunzi wakakusanya" # wakaacha chakula ambacho hakuna mtu aliye amekila # ishara hii Yesu anawalisha watu 5000kwa mikate mitani ya shairi na samaki wawili.