# Basi 'Basi" linamwonesha Yohana anatoa kwa ufupi kuhusu tabia za viongozi wa Kiyahudi kwa Yesu. # kazi Hii ina maanisha shughli au kitu chochote kinachofanywa kuwatumikia watu. # akijifanya yeye kuwa sawa na Mungu "sema kwamba alikuwa sawa na Mungu"au kusema kwamba alikuwa na mamlaka makuu kama Mungu" # Baba yangu Hiki ni cheo muhimu kwa Mungu