# mtu aliponywa "mtu alikuwa na afya tena" # Sasa Neno "sasa" limetumika hapa kwa ajili ya Yohana kutoa historia ya nyuma kwamba tukio hili linatukia siku ya Sabato.