# Maelezo kwa Ujumla: Mstari wa 5 unatambulisha mtu amelala pembeni mwa dimbwi la simulizi. # kulikuwa "Kulikuwa kwenye dimbwi la Bethzatha" # amekuwa hawezi "amepoza" # miaka thelathini na minane miaka minane - miaka 38 # akatambua "alifahamu" au "alipata kuelewa" # akamwambia "Y esu akamwambia yule mtu aliye poza"