# Kwa hiyo akaamini yeye na nyumba yake yote yeye mwenyewe imetumika kusistiza neno "yeye" kama katika lugha yako una namna ya kusema unaweza kufikiri namna ya kutumia. # Ishara Miujiza inaweza kuitwa "ishara" kwa sababu yametumika kama kiilelezo cha ushahidi kuwa Mungu ni mwenye nguvu zaidi na aliye na mamlaka juu ya dunia.