# ninyi hamwezi kuamini hadi mwone ishara na maajabu Msipo...hamwe kuamini" ni mashaka hasi. Katika lugha nyingine hili linatafsiriwa katika mtazamo chanya. "Mtaamini tu pale mtakapoona miujiza." # kuliamini neno Hapa "neno" lina maanisha ujumbe ambao Yesu alioutoa. "amini ujumbe."