# Sasa Neno hili linaonyesha ukomo wa masimulizi na kuhamia sehemu nyingine ya simulizi. kama katika lugha yako kuna jinsi ya kuweka hili unaweza kuweka. # afisa mtu ambaye yuko katika huduma ya mfalme # yuko katika hali ya kufa "kuwa katika hali kufa."