# neno lake "Neno" hapa lina sisimama kwa kumaanisha ujumbe ambao Yesu alihubiri. "ujumbe wake" # ulimwengu ulimwengu hapa unasimama kwa kumaanisha watu wote wanaoishi duniani. "Watu wote wanaoishi duniani."