# Bwana Katika mkitadha huu mwanamke Msamalia anamwelezea Yesu kama "Bwana," ambalo ni neno la heshima na upole. # Naona ya kuwa unabii "Naelewa kuwa unabii." # mababa Mababu wa zamani