# Bwana katika mkitadha huu, mwanamke Msamalia anamwita Yesu "Bwana" ambayo ni neno la upole au unyenyekevu. # teka maji "pata maji" au "vuta maji kutoka ndani ya kisima" kwa kutumia chombo na kamba