# atapata kiu tena "atahitaji kunywa maji tena."" # maji nimpayo yatakuwa chemchemi ndani yake Neno "chemchemi" ni fumbo kwa maji yatiayo uzima. "maji nitakayompa yatakua kama chemchemi ya maji ndani yake." # uzima wa milele hapa "uzima" lina maanisha "uzima wa kiroho" ambao ni Mungu pekee anayeweza kutoa.