# Maelezo kwa Ujumla: Huu ni sehemu nyingine ya simulizi ambayo inamuhusu Yesu na mwanake Msamalia. Mstari huu unatoa habari ya mwanzoni kwa ajili ya sehemu ya simulizi # Basi Yesu alipofahamu Neno "sasa" limetumika hapa kuonyesha kusimama kidogo katika simulizi kuu. Hapa Yohana anaanza kuelezea sehemu mpya ya simulizi. # Yesu mwenyewe hakuwa anabatiza Nomino hii mwenyewe inongeza msisitizo kwmba sio kwamba Yesu mwenyewe alikuwa akibatiza, bali wanafunzi wake.