# Baada ya haya Hii inamaanisha baada ya Yesu kuongea na Nikodemo. # Aenoni Neno hili linamaanisha "chemuchemi." # Salimu kijiji au mji ulio karibu na Mto Yorodani. # kwa sababu mahali pale kulikuwa na maji mengi "kwa sababu kilikuwa na chemuchemi nyingi katika sehemu ile." # walikuwa wakibatizwa hili linaweza kusemwa kwa muundo wa kutenda. '" Yohana alikuwa akiwabatiza " au " alikuwa akiwabatiza."