# Basi Neno hili linaonyesha tukio lililotokea kwa sababu ya kile kilichotokea mwanzoni. Katika hali hii, Yesu aliwaona wabadili fedha wamekaa katika hekalu. # Acheni kuifanya nyumba ya Baba yangu soko Yesu, Mwana wa Mungu, anawafukuza wafanyabiashara kutoka mahali palipoandaliwa kwa ajili ya ibada ya Baba yake, Mungu Baba, kumuheshimu. # nyumba ya Baba yangu Haya ni maneno ambayo Yesu aliyasema yakimaanisha hekalu. # Baba Hiki ni cheo muhimu kwa Mungu.