# Maneno ya jumla: Yesu na wanafunzi wake wanapanda kwenda Yerusalemu kwenye hekalu. # juu hadi Yerusalemu Hii inamaasha kuwa walisafiri kutoka kwenye mwinuko kwenda chini. Yerusalemu imejengwa juu ya kilima. # ndani ya hekalu inamaanisha sehemu ya nje ya hekalu mahali ambapo wasio wayahudi waliruhusiwa kuabudu. # wale waliouza watu waliweza kununua hekaluni na kuwadhabihu kwa ajili ya kumuheshimu Mungu. # wabadili fedha Mamlaka ya Kiyahudi iliitaji watu ambao walihitaji kununua wanyama kwa ajili ya dhabihu kubadilisha pesa zao kutoka kwa wabadilishaji wa fedha.