# Maelezo kwa Ujumla: Mistari hii utupa maelezo kuhusu Andrea na jinsi alivyomleta ndugu yake Petro kwa Yesu. Hii ilitokea kabla hajaenda mahali ambapo Yesu alikuwa akikaa. # mwana wa Yohana Huyu ni Yohana Mbatizaji. " Yohana lilikuwa jina la kawaida.