# Tena, siku iliyofuata Hii ni siku nyingine. Ilikuwa ni siku ya pili Yohana alipomwona Yesu. # Mwanakondoo wa Mungu Huu ni mfano ni mfano ambao unawakilisha dhabihu timilifu. Yesu ni Mwanakondoo wa Mungu kwa sababu alidhabihiwa kulipa dhambia za watu.