# shuka "shuka chini" # kama njiwa hili ni neno lenye lugha ya picha . "Roho " anashuka chini kama vile ambavyo njiwa ashukavyo kwa mtu. # mbinguni Neno "mbingu" linamaanisha "anga." # Mwana wa Mungu Baadhi ya nakala za kifungu hiki husema "Mwana wa Mungu": wengine husema " mchaguliwa wa Mungu." # Mwana wa Mungu Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.