# Amini juu ya Hii ina maanisha Yesu kuwa Mwokozi na kuishi kwa jinsi ambayo inamtukuza. # Jina Neno 'jina" ni neno ambalo linaelezea utamblisho wa "Yesu" na kila kitu kitu kuhusu yeye. # aliwapa uwezo aliwapa mamlaka" au "aliwezesha kwa ajili yao" # Wana wa Mungu Neno "watoto"ni mfano ambao unawakilisha uhusiano wetu na Mungu, ambao ni kama vile watoto na baba.