# Kuishuhudia nuru Hapa "Nuru" ni mfano kwa ajili ufunuo wa Mungu katika Yesu. AT: "onyesha jinsi ambavyo Yesu alivyo kama nuru halisi kutoka kwa Mungu."