# Katika mwaka wa thelathini na saba mwaka wa saba # Katika mwezi wa kumi na mbili,siku ya ishirini na tano ya mwezi Hii ni siku ya kumi na mbili na mwezi wa mwisho kwa kalenda ya Kienrania. # Ikawa Neno hili limetumika kuonesha mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi. # Evil Merodaki Alikuwa mfalme wa Babeli baada ya Nebukadreza.