# mtu atakuja ambaye atakuwa kama mlima tabori na mlima Karmeli karibu na Bahari Hili ni taifa la Babeli ambalo litaisonga taifa la Misri kama milima hii miwili. # Kusanya vitu vyako "jiandae kusafiri.