# Tazama, niapa kwa jina kuu- asema Bwana Jina kuu la Bwana linaonesha ukuu wake. # Kila mtu wa Yuda ... ataangamizwa "Idadi kubwa ya watu wa Yuda ... wataangamizwa" # kwa uoanga na njaa "upanga" inawakilisha watu watakaokufa vitani na "njaa" inawakilisha watu watakaokufa kwa njaa.