# Ikatokea kuwa Maneno haya yalitumika hapa kuonesha mwanzo wa simulizi mpya. # katika mwaka wa saba Huu ni mwezi wa saba kwa Kalenda ya Kiebrania. ni mwishoni mwa mwezi wa Septemba na mwanzoni mwa mwezi octoba. # Ishmaeli ... Nethania ... Elishama ... Gedalia ... Ahikamu Haya ni majina ya watu.