# Katika mwaka wa tisa mwezi wa kumi wa Sedekia mfalme wa Yuda Huu ni mwaka wa kumi kwa kalenda ya Kiebrania. Ni mwishoni mwa mwezi wa Disemba na mwanzoni mwa mwezi wa Januari katika kalenda ya mashariki. # tisa ... kumi ... kumi na moja ... nne tisa ... kumi ... kumi na moja ... nne # Katika mwaka wa kumi na moja mwezi wa nne wa Sedekia, siku ya tisa ya mwezi Huu ni mwezi wa nne kwa Kalenda ya Kiebrania. # Nergal-Shareza, Samgari, Nebo na Sasechimu Haya ni majina ya watu. # katika lango la katikati "Katikati ya lango la kuingilia mjini" Ilikuwa ni kawaida kwa viongozi kukaa katika lango la mji na kujadili mambo mbalimbali.