# Nitawatia katika mikono yao Hapa neno "mkono" linamaanisha "nguvu" au "utawala" # kwa wao kunitendea vibaya Neno "wao" linamaanisha Watu wa Yuda.