# Msijidanganye wenyewe Neno "wenyewe" linawaelezea mfalme Sedekia na watu wote wa Yuda. # Hakika Wakaldayo wanatuacha Watu wa Yuda wanafikiri kuwa watakuwa salama kwa sababu Wakaldayo wameondoka. # watainuka "watu waliojeruhiwa watainuka"