# Sauti ya Yonadabu. Neno "sauti" hapa linamaana ya "amri". (Amri ya Yonadanu.") # Siku zetu zote. Neno "siku", hapa lina maana ya kipindi kirefu cha maisha."