# Warekabi. Angalia ufafanuzi katika mstari wa kwanza wa sura hii ya 35. # Yonadabu ... Rekabu. Haya ni majina ya kiume. # Ili kwamba muweze kuishi miaka mingi katika nchi. Neno "Siku" , hapa linamaanisha kipindi cha maisha kirefu."