# Lakishi na Azeka. Haya ni maajina ya miji. # Miji hii ya Yuda ilisalia kama miji yenye ngome. "Hii ilikuwa miji pekee ya Yuda yenye ngome, ambayo ilikuwa bado haijatekwa."