# Katika wakati huo Huu ni wakati ambapo Mungu atawaadhibu waovu. # Hili ni tangazo la Yahwe. Angalia tafsiri kutoka sura ya 1:7. # Yahwe alinitokea. Nafsi inayotajwa hapa, "alinitokea", inawakilisha watu wa Israeli.