# Neno la Yahwe likamjia. Angalia ufafanuzi wa sura ya 1:1. # Ulivunja nira ya mbao, lakini badala yake nitafanya nira ya chuma. "Mliivunja nira laini lakini sasa nitafanya nira ngumu ambayo hamtaweza akuivunja."