# Maelezo ya jumla: Nabii wa pili, Uria, anathibitisha maneno ya Yeremia. # Katika jina la Yahwe. Angalia sura ya 26:16. # Wakuu wakasikia maneno yake. "Wakuu walisikiliza maneno aliyoasema Uria.