# Hili ni tamko la Bwana Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7. # ambae amekaa kiti cha Daudi Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 13:12. # mji huu utakaa milele Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "watu watakaa jiji hili milele"