# Taarifa za jumla Yeremia amekuwa akimwomba Bwana. # Watoe mbele yangu, ili waweze kuondoka "watoe mbali nami! Waache wapate! Anarudia wazo hili kwa msisitizo. # Wale wanaotakiwa kufa "Watu ambao Mungu alisema lazima wafe" au "wale wanaokufa"