# neno la Bwana lilifika Tazama jinsi ilivyotafasiri hii katika 1:1. # kiburi "kiburi" # wa Yuda na Yerusalemu "watu wa Yuda na Yerusalemu" # mbao huenda katika ugumu wa mioyo yao "ambao wanaendeleza ukaidi" # nyumba zote za "watu wote wa" # fungwa kwangu 'kukaa karibu na mimi' # hili ndilo tamko la Bwana Angalia jinsi ilivyotafasiri hii katika 1:7.