# Kwa yatangaze maneno haya ... Tatangaze mabo haya ... Virai hivi vinamaanisha kitu kimoja. "Waambieni ujumbe wangu lakini hawatanisikiliza na kubadili njia zao mbaya." # sauti ya BWANA Tazama 3:23 # Ukweli umeharibiwa na kukatwa kutoka kwenye vinywa vyao "watu hongea uongo tu"