# Jiongezeeni sadaka za kuteketezwa katika dhabihu zenu na nyama zake. Ingwa BWANA hutaka sadaka, hakutaka tena sadaka zao kwa sababu walibaki kuwa waasi baada ya kutoka hekaluni