# kwa nini niwasamehe hawa watu "Kwa sababu ya mambo wanayofanya, siwezi kuwasamehe hawa watu" # hwa watu Watu wa Yerusalemu # awana wenu watu wa Yerusalemu # Niliwalisha vya kutosha "Niliwapatia kila kitu walichohitaji" # na kuchukua alama za nyumba za uzinzi "na kwenda katika makundi makubaw kwenye nyumba za uzinzi" # katika joto "aliye tayari kupandwa" # kupandwa wakati wanyama wanapolala pamoja ili kuazlisha # Kila mume alimkaribia mke wa jirani yake "kila mwanume alikuwa anajaribu kulala na mke wa jirani yake." # kwa hiyo kwa nini nisiwaadhibu ... na kwa nini nisijilipizie kisasi juu ya taifa kama hili "Kwa sababu wanafanya mambo haya, Nitawaadhhibu ... kwa hakika lazima nilipe kisasi changu dhidi yao." # Asema BWANA Tazama 1:7