# Niliiona nchi, na kuiona Huu ni mwaliko kwa Yeremia kuyatazama maono ambayo Mungu anampatia # ilikuwa ukiwa na utupu Huu ni unabiiwa jinsi nchiya Israeli it akavyokuwa baada ya watu wote kupelekwa katika utumwa. # Tazama Neno "tazama" linatuashiria kuwa tayari ili kupokea taarifa zinazofuata