# kila mmoja wale viongozi wa ufame wa kaskazini # atasimika enzi yake katika malango ya Yerusalemu "atasimamisha hukumu zake kwenye malango ya mji" # nitatamka hukumu dhidi yao "nitatangaza jinsi nitakvyowaadhibu"